Mweh!

Mweh!

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Habari yenu? Najua wengi hamnijui lakini niliwahi kuwepo hapa zamani siku hizi napitapita nasomma sredi nacheka mpaka nashikilia mbavu stress zote zinaisha.

Haya wale wazee wenzangu na Vijana napita Tu kuwapa hi. Yaanni mtu anasema kamfuma mkewe na jamaa Mara 2 halafu ndio anazidi kumpenda! Seriously! Mmweh haya bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom