DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Dah kweli kila kitu kina msimu siamini kama kale kamchezo kakuandika majina ktk chupa za soda kameadimika maana ilikua kama mashindano....ilitaka kusababisha hatar ktk mahusiano baada ya mpenzi wangu kusikia nina kamchepuko kanaitwa lucia afu akakuta gheto kuna kizibo cha coca kimeandikwa lucia akajua tumeshare coca kumbe nilinunua bila kujua