JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Bandugu jana mji wa Goma ulizizima kwa sherehe mbili kwanza ilikua ni siku ya Wazazi kwa DRC na pia ilikua na birthday ya mama first lady huyu mama ni mzaliwa wa hapa Goma...kama kawaida...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama natokea Manzese nipande gari gani wakuu wangu? Thanks in advance
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya kukaa bongo mzungu alijifunza maneno matatu JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA. Siku moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hivi; Mzungu~ jambo? Mdau~ sijambo. Mzungu~ salama? Mdau~ si...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani cna jipya ila nawasabai tu wajuaji wa kuandika na wakosoaji watu. Mpo
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni siku njema sana ambayo Bwana ameifanya...karibuni wengine mliozaliwa siku kama ya leo tujumuike. Kipekee niwashukuru JF ambao wamekuwa wakinitumia wishes kila mwaka tokea mwaka 2009...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
#boy_ &_girl BOY ~ nataka kuwa pilot..... GIRL ~unazingua, bora uache.. BOY ~ehee, kwani unafikiri siwezi ?? GIRL ~umeshindwa kurusha voucher,utaweza ndege .........!!!!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwita alikua amechelewa shule, alipofika mwalimu akataka kujua kwanini amechelewa, maongezi yao: Mwalimu: mbona leo umechelewa shule? Mwita: kuna mzee mmoja kapoteza pesa. Mwalimu: kwa hivyo...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
It has been months -No sign of the blabber !!! Gosh I hate that grandma!! Au mwezi hauja andama
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama ukiwashwa mkono ujue pesa inakalibia kuja, bac ----- ungekuwa dili:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
0 Reactions
5 Replies
3K Views
May every Birthday make you more stunning than you already are, more funny than you already are, more stylish than you already are, more generous than you already are and more creative than you...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
I've visited T.Z a few times recently, Arusha to be specific and I've got to admit I have lost count of the number of times I had my head turned by the beauty of your women. Kwanza them bootays...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Is this number already out T2015CDM. I really need this number for my new toyota prado i have ordered. Any one with an idea?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina safari ya kikazi maeneo ya Leesburg, VA. Ningependa kuonana/ kujuana na members wa Jamii forums walio huko. Unaweza ni PM.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana nashukuru baada ya hotuba ya Freeman Mbowe kumalizika, nilikutana na katibu CCM itikadi na uenezi, kama kawaida hakosagi neno, sambamba na utani wake kwangu, akaniuliza" " Tumemsikia...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya kukaa bongo mzungu alijifunza maneno matatu JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA. cku moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hiv. mzungu~ jambo? Mdau~ sijambo. mzungu~ salama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamka leo siko sawa mwili wangu unauma sana nafikiri sijui mafua yananinyemelea hata sijui.Ila nikumshukuru alie juu. Nawatakia Alihamisi njema
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenyu binafsi, Jamani naomba kufahamu jinsi ya kutengeneza gongo Iwe ni ile ya au ya ndizi, au ya zabibu. Maadamu iwe gongo. Natanguliza shukrani CL
1 Reactions
1 Replies
792 Views
....kati ya aliyechomwa kisu, aliyezama majini na aliyepigwa risasi.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom