Happy birthday Mama Kabila

Happy birthday Mama Kabila

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,739
Bandugu jana mji wa Goma ulizizima kwa sherehe mbili kwanza ilikua ni siku ya Wazazi kwa DRC na pia ilikua na birthday ya mama first lady huyu mama ni mzaliwa wa hapa Goma...kama kawaida Werrasone Ngiama,, Felix Wazekwa, JB Mpiana Mukulu,, mama Mbiliabel,, tchalamuana, Nyokalongo na zaiko.... kwa hakika vijana walivimba sana... sisi wageni tulivuta shuka mapeema na kuisikilizia midundo kwa mbaali.
 
Hongereni sana. Vipi Koffi Ollomide hakuwepo huko? Mimi ni mshabiki wake!
 
Hakufika si unamjua papa mopao kwa nyodo.. hata papa wemba hakuja...
 
Back
Top Bottom