JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habarini wanajamvi, Natumaini mko poa sana kama unaumwa nikupe pole sana utapona. Ni hivi mimi ninakaswali ka kizushi hivi ni kwanini mara nyingi mtu akianguka bahati mbaya unakuta atachekwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Poleni na kazi wakuu, nimekuwa nikijiuliza haya majina yenye herufi ya kwanza kwenye majina yanayoanzia na M yawe ni ya marais, wabunge n.k. yana matatizo au sifa gani. Naanza kwa kumpa salute...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Udikteta, katika dunia ya tatu, Itele, miungu watu, Idd, Bokasa,Mobutu, Mizinga nayo mitutu, Haitoi risasi, Hutoa maraisi, Walio MADIKTETA. Alisema..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwamba unamtongoza mwanamke naye anakubali hii cost umerisk kutongoza naye amerisk kukubali makubaliano yanakuwa ni 50/50 Unamgharamia kwa vyakula mavazi vinywaji na whatever, hapa inakula kwako...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo mtu mwenye heshima zake alinitumia message akiuliza""mchungaji yuko hapo au kaondoka"? Nikamjibu kaondoka kaenda kwenye mambo yake kidini ,kweli hali ya hewa ilichafuka kumbe simu...
4 Reactions
64 Replies
9K Views
BREAKING NEWS Slaa arudisha kadi.. Katika hali isiyotazamiwa na wengi, katibu mkuu wa Chadema, Dr. Slaa, amejiondoa rasmi katika orodha ya wateja wa Startimes. Hii imetokana na kukatika kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu Leo napenda kushiriki nanyi jambo hili. Mara nyingi niwapo na Wifi/ Shemeji yenu uwa napenda sana kumwona akilia na kutoa chozi kwa ajili yangu. Muda mwingine namchokoza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Labda mimi ni mlafi au mshamba, ila sijawahi kubakisha hata tonge moja la chakula cha Sh 2,000/= - 3,000/= cha kupimiwa kwenye sahani. Sasa napata maswali mengi na wakati mgumu ninapomuona...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Mambo si kitoto,6 weeks ni nouma aisee. Wapi madoja na style yao ya vasco dagama,wapi kimbinyiko,wapi komsanga na genda genda,vp ile mvua ya juzi pamoja na na ile ya siku ya intro? (kurutu leo...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Kufuatia mwamba wa Kaskazini kuhamia upinzani, breaking news hiyo iliwastua sana Mkulu na Maza na hivi ndivyo ilivyokuwa. Mkulu: Baby, vijana wamenitaarifu habari za nyumbani kuwa ni nzuri ila...
6 Reactions
36 Replies
6K Views
Oyo Oyo Oyooooooo kiukweli jamani hii tabia sio nzur yani mwanaume uliyekamilika unasimama mbele ya kadamnasi ya watu unakata mauno ??????? yani unazungusha nyonga hata Mimi niliopelekwa unyagoni...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Sikuzote anaekutendea mabaya unapaswa kulipisa lisasi au kumkaushia.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, Poleni na kazi najua wengi macho na maskio yetu yapo kule jukwaa la siasa ili kujua nini kinaendelea. Back to topic Jana mida ya saa 12 jioni nikiwa na ka mchepuko kangu tunaingia...
2 Reactions
75 Replies
10K Views
Ninaingia JF na kujitosa kwenye jukwaa mojawapo. Nasoma thread kadhaa na post zake.Kwenye post ya mdau aitwaye Mzee wa Rula, sisomi post. Macho yangu yanaganda kwenye avatar: kibonzo kinapigiza...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
namini sikuzote anae kutendea mabaya chamsingi nikumsikiliza ukiona kazindi jalibu kuongea nae ila ukiona anazingua nawewe mchejie tu ili iwe maelewano hakuna
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Kwa wale wa Dar au mnaopitapita pande hizi .Tusaidiane kitu labda mimi mgumu kuelewa.Huu mkorogo wa jina la kituo kinachotumikaSasa baada ya kile kilichokuwepo Ubungo Tanesco kuhamishwa siuulewi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku yaleo iwe ni chachu ya kufikia mafanikio yako....kila ulifanyalo likafanikiwe....kila jema uwazalo likatimie...kila uingiapo na kutoka ukawe baraka...kila akuonae upate kibali kwake. Ukawe ni...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadau, Toka nianze kutumia internet juzi juzi tu hapa nikitembelea tovuti mbali mbali, naona matangazo ya kuwa single girls wengi wazuri in my area wanataka kukutana na mimi. Yaani nashindwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sisemi mengi. Ingieni mjionee wenyewe tu. Iko wapi team #TOT (Tanzanians on twitter)?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom