Happy Birthday to me

Gwamahala

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
3,925
2,321
Ni siku njema sana ambayo Bwana ameifanya...karibuni wengine mliozaliwa siku kama ya leo tujumuike.

Kipekee niwashukuru JF ambao wamekuwa wakinitumia wishes kila mwaka tokea mwaka 2009 nilipojiunga JF rasmi!

Gwamahala.
 
Happy birthday mkuu Gwamahala. Naona siku zako hapa duniani zinazidi kuyoyoma. Jiulize umepokea nini na umetoa nini kwa binadamu wengine..
 
Happy birthday MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU uploadfromtaptalk1438356766409.jpg
 
Supposedly...! Nyani Ngabu hapo ndo tutajua sasa, coz "both" of you are invited.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom