Nielekezeni kituo cha Palm Beach

Nielekezeni kituo cha Palm Beach

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,794
Reaction score
12,623
Kama natokea Manzese nipande gari gani wakuu wangu?

Thanks in advance
 
kama natokea manzese nipande gari gani wakuu wangu? thanks in advance

Palm beach pananoga ukienda na Taxi ila ukiwa unarudi Kwenu Manzese si vibaya hata ukirudi kwa Guta au kutembea na Tz 11 yako.
 
panda gari mpaka posta halafu chukua gari za makumbusho waambie nashuka hapo, au pandagar za makumbusho ukitokea manzese then ukifika makumbusho panda gari za posta waambie wakushushe palm beach
 
panda gari mpaka posta halafu chukua gari za makumbusho waambie nashuka hapo, au pandagar za makumbusho ukitokea manzese then ukifika makumbusho panda gari za posta waambie wakushushe palm beach

shukrani mkuu
 
nashukuru mkuu kwa dhihaka

Utani tu Mkuu usimaindi. Vipi umeshapata ramani kamili au nikupe sasa. Usisahu lakini kubeba mosquito repellant kwani hapo palm beach kuna Kiwanda maalum cha kutengeneza mbu wa malaria.
 
I always hate replies like that from La Brujita. Tuwe serious na hizi resources, unamtania mtu kwenye JF unamfahamu? Na je hujui kama huo utani wako unawafikia recipients wengi zaidi yahuyo mlengwa?

Tuheshimu shida za wenzetu ndy a Great Thinker huo jamani!
 
I always hate replies like that from La Brujita. Tuwe serious na hizi resources, unamtania mtu kwenye JF unamfahamu? Na je hujui kama huo utani wako unawafikia recipients wengi zaidi yahuyo mlengwa? Tuheshimu shida za wenzetu ndy a Great Thinker huo jamani!

mkuu usiumie sana hao ndo GT wetu
 
Ukiwa manzese panda la kibaha shuka ubungo chukua la mbagala rangi tatu. Chukua bodaboda mwambie akupeleke chalambe palm beach
 
I always hate replies like that from La Brujita. Tuwe serious na hizi resources, unamtania mtu kwenye JF unamfahamu? Na je hujui kama huo utani wako unawafikia recipients wengi zaidi yahuyo mlengwa? Tuheshimu shida za wenzetu ndy a Great Thinker huo jamani!

Who're you to dictate my views here?
 
Na ndiyo maana kwa umbigiri wako huo na kukaa kote Dar hupajui palm beach. Na leo kwa kwenda Kwako huko palm beach PATAKOSA wateja.

kwahiyo ndugu yangu wewe mji wote huu unaujua? pia, hapo palm beach naenda kuonana na mtu tu mara moja hapo kituoni, wala hakukuwa na haja ya kumdhihaki mwenzako ni suala la kuelekezana tu
 
Ukisikia shombo shombo puani ujue umefika
 
Back
Top Bottom