JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Arusha mpoo?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Katika khali isiyo ya kawaida jana katika kituo Mwanangati kwa Mfipa, mmasa aliyekuwa na silaha za jadi aligeuka kuwa kituko baada ya waliokuwa wamefoleni kuanza kukimbia wakidhani kuwa anaenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Big born" "Mkali wao wa kitaa" "Nyota ya kitanda" "Usinichokoze" "We ---- nini" "Mwajuma fuata ----- wako" Ni maneno mengi mno huandikwa humo,hivi lengo lao/lenu huwa ni nini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna wimbo ulitoka wakati niko primary lkn jina na msanii simkumbuki Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuupata either jina la wimbo au msanii nitashukuru sana Baadhi ya mashairi ni kama hivi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Salsa sijui ni la kiswahili au kinyamwezi?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Kadri siku zinavyoenda mambo yanabadilika. Unaweza kuhudhuria misiba mingine badala ya kulia ukajikuta unafyatuka kicheko. Jamaa mmoja msibani nimemsikia analalamika kwenye simu kwamba kwanini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
It appears President Obama's security was "exceptionally tightened" during his visit in Kenya.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Hellow Galadudu nimekuwa nafurahishwa sana na nyuzi zako, na wakat mwingine zimekuwa zikiniondolea stress...... naamini utakuwa ni mtu flani hivi wa kipekee na nitafurahi sana cku moja tukikutana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Huko mlipo tunaomba updates za watoto mnaowaona kwenye foleni za BVR wakali ama huku ninakoandikishwa naona kama watoto wa geti wamefunguliwa.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kuna mdada nilikutana naye kwenye sendoff moja jijini Arusha hivi majuzi.Aliponiona akanifananisha na mtu anayemfahamu, akanijia na kunisalimu. Niliposhindwa kujibu swali moja aliloniuliza ndipo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sijui ni Malaria? Yani naumwa kweli, hata kula nashindwa; asubuhi yenyewe nimekula chapati 9 tu, maandazi 7, mihogo 7, vitumbua 10, mikate 6, magimbi 5, ndizi za kukaanga 4, sambusa 5, sahani za...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
mungu ni mwema 0766667876
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1.Majukwa yoote ya Jamiiforums yafungwe isipo kuwa hili la Chit chat. 2.Member wawe na uhuru wa kugombea nafasi ya u admin au u mode. 3.Kwa kuwa haki sawa kwa wote ipo basi wanaume wasioe tena...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wazee wawili walikua wamekaa chini ya mti wakizungumza kuhusu watoto wao huku kila mtu akimsifia mtoto wake: BABA KIBONOKA: Wewe huniambii kitu, mwanangu ana akili kuliko hata wako BABA KIPONDO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawashukuru Wachina kwa kusikia kilio changu cha mara kwa mara juu ya kuisha haraka kwa battery, wamenipa ufumbuzi -:
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi tu hali haitamaniki! Huwa najiuliza; ingekuaje kama Mola muumba angetukabidhi funguo za rizki kugawiana miongoni mwetu? Watu wa hali ya chini tungesalimika?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba mmoja alichoshwa na maendeleo ya mtoto wake kwenye somo la hisabati. Kila mwisho wa muhula ripoti ikija, mtoto kapata 10% au chini ya hapo.Baba kaona hii noma, bora amhamishie mtoto kwenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nimeota nchi imepinduliwa na kuna jamaa ana upanga unang'aa kama mbalamwezi kaingia ikulu na kuanza kuchezea sharubu za JK
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nina huyu mpenzi wangu wote ni wafanyabiashara na tunaishi sehemu tofaut hapa dar.tunawasiliana vizuri tukikutana tunafanya na ngono. Lakini tatizo ni kwenye simu yeye hajawahi kunitafuta mimi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari ndugu jamaa na marafiki, Napenda tufahamiane wale wote vijana wa kike na kiume ambao niwaumini wa dini ya kisabato. Bwana awabariki
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom