Mwakapesa II JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 569 Reaction score 927 Jul 30, 2015 #1 Baada ya kukaa bongo mzungu alijifunza maneno matatu JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA. cku moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hiv. mzungu~ jambo? Mdau~ sijambo. mzungu~ salama? Mdau~ si salama, nimefiwa.... mzungu~ SAFI SANA.... JE WAJUA MDAU ALIFANYAJE?? mimi niliondoka cjui kitu kilichotokea.
Baada ya kukaa bongo mzungu alijifunza maneno matatu JAMBO,SALAMA NA SAFI SANA. cku moja alikutana na #mdau mmoja hivi. Ikawa hiv. mzungu~ jambo? Mdau~ sijambo. mzungu~ salama? Mdau~ si salama, nimefiwa.... mzungu~ SAFI SANA.... JE WAJUA MDAU ALIFANYAJE?? mimi niliondoka cjui kitu kilichotokea.