Warren.T JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 900 Reaction score 318 Aug 23, 2015 #1 Wakati Mbowe anawakutanisha Lowassa na Sumaye jana, leo Jakaya anawakutanisha Diamond na Wema Sepetu Jangwani!! CCM bhana!
Wakati Mbowe anawakutanisha Lowassa na Sumaye jana, leo Jakaya anawakutanisha Diamond na Wema Sepetu Jangwani!! CCM bhana!
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Aug 23, 2015 #2 Haaaaaaaa kwani hii ni breaking news jamani
J C JF-Expert Member Joined Dec 12, 2013 Posts 3,198 Reaction score 2,727 Aug 23, 2015 #3 Teh teh teh!. Haya masihara kuelekea October 25
yanga bwana JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 300 Reaction score 47 Aug 23, 2015 #4 Heko ccm kumbe maandalizi ya jangwani Leo in kuwakutanisha Diamond Na Wema pongezi ccm kwa kupatanisha wapenzi
Heko ccm kumbe maandalizi ya jangwani Leo in kuwakutanisha Diamond Na Wema pongezi ccm kwa kupatanisha wapenzi
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,907 Reaction score 15,151 Aug 24, 2015 #5 Hongera kwa kupata CCM B!!!