Kishati

Kishati

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,741
Reaction score
12,441
Jamani, baada ya kujenga hili kaburi la mpendwa wetu, tunaomba ndugu Kishati aongee maneno mawili matatu...

Kishati: Kiukweli haka ka kaburi kametokelezea mno, duh!!! yaani hadi kanahamasisha kufa! Ni kazuri mno.. binafsi nimejikuta natamani hata kufa

Watu: Ayaa, sio mzima huyu!
 
Back
Top Bottom