Hodi wana MMU,
Tujuzane wimbo ambao umemchagulia mpenzi wako ambapo simu yako ikiita tu lazima usisimke na uache kila unachofanya.Mimi niliedit wimbo wa Manesa Sanga "CHAGUO LAKO" coz nategemea kuoa kabisa.
Weka wako tulinganishe ujumbe unaopatikana katika wimbo huo.
Nawasilisha