Kwa waliosoma Tosamaganga: Hivi muasisi wa maneno yafuatayao ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliosoma Tosamaganga: Hivi muasisi wa maneno yafuatayao ni nani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucas, Mar 18, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  1. Half mile
  2. Quarter mile
  3. Mabanzi
  4. .........
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  hebu niambie mkuu wewe pale ulikuwa msimu upi wakati wa dude,mkangwa,chacha, au....

  Kabla sijakupa majibu ya maquestion yako.

  Mie pale nilikuwa enzi za mkangwa 1/2 charwe
   
 3. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nilikua hapo enzi ya Mzee Lucas Kambanyuma
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mbona umesahau kutaja msiwasi?
  kuosha, (kupiga chabo), chaputo,
  au wewe ndo mwasisi wa chaputo nini?
   
 5. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Enzi ya Mkangwa nilikuwa hapo........ ila kama wewe ni kipindi hicho naamini hata wewe huna jibu maana hata wale wa 1980s mwishoni hawana jibu ila kama ulipata story naomba. Najua case ilianza kwa kuangalia umbali kutoka mabwenini. ila nani alikuwa author ama kipindi gani jina hilo lilianza sijui!!
   
 6. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Mh hiyo hata sijui ni mwaka gani au ndio hivi karibuni?
   
 7. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ah ha ha ah kaka huko mie siko kabisaaaaaaaa, by the way nimekumbuka tu kwanza hayo lakini msiwasi old trafford, sumu, sifongo, tupia jicho..... nasikia siku hizi bado ile sehemu inaitwa tupia jicho, japo watoto hawajui ilitokea wapi hilo jina
   
 8. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Nyaganiro na Mponzi walishavuta kitambo tu.
   
 9. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Unamkumbuka mama Mingoyi,
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Pora, ila hiyo tupia jicho mbona imekuwa ngeni kwangu. Au ndo sehemu watu wanapiga chabo kwa vitoto vya s/msingi vikiwa vinakoga?.
  Misemo mingine ni hii.
  1. Sina hakika
  2. Sokibiti and septiki tenki.
  3. Mlunza
   
 11. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah Umenikumbusha kipindi fulani Mponzi aliwahi kunywa sumu!! na Nyaganiro ndio yule alienda Mzumbe? wewe umewafahamu vipi hawa?
   
 12. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Ngoja nikupe Historia Kidogo,


  Hapo zamani kulikuwa na wimbo wa Shule ambao ulitungwa na Mwalimu Mwapinga miaka ya 1980s, katika wimbo huo ubeti wa mwisho ulikuwa unamalizia kwa kuimba "Tupia jichooooooooo..... Tosa yetu, shule inayopendezaaaaa"

  Sasa ukiwa unaelekea Junction, kuna kona moja ambayo ndiyo ya mwisho unaiona shule, tulikuwa tukifika hapo maana ndio kona ya mwisho mnamalizia kama vilee wimbo unavyomalizia "tupia jichoooo" especially kipindi cha likizo!!

  So hiyo sehemu pia ikawa al maarufu kwa jina la tupia Jicho
   
 13. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hebu andiken majina yenu wadau ili kunoge
   
 14. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  sema mwaka wako kwanza.....
   
 15. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Me nilikuwepo enzi za mama mingoi na mama mchafu,tehe!
   
 16. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  1997 Captain wa football team.
   
 17. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  muasisi wake ni kontra
   
 18. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndio nani huyo alikuwa hapo mwaka gani?
   
 19. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mwaka huo Mkangwa ana mwaka mmoja?? class ya kina zito?
   
 20. P

  Praff Senior Member

  #20
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nilikuwa enzi za mkangwa, yule dada anayeitwa mwl kejo alikuwa mwl wangu wa darasa, mponzi mvuta sigara namkumbuka. Kapinga yule mfupi mwl wa english? Alinifundisha english course, contra nae alikwepo pia msalijwa yule mnoko, fyudo alitusimamia bustani idete
  unazikumbuka ATOM? Sifongo, half mile navipata had leo vina exist nilikuwa kule juza kwa sasa ni advanced level only. Cherehani je?
   
Loading...