Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Hiyo ni kauli ya member mwenzetu bi. Kikongwe, the lone widow, Faizafoxy. Husema hivyo pale ambapo baadhi ya wanajukwaa wanapoandika makosa katika michango yao.
Kiukweli makosa mengine ya kiuandishi huwa ni ya kizembe kabisa. Yaani mtu anaandika maneno mia moja lakini makosa kumi. Umakini uko wapi? Katika wanajukwaa wa JF anayeongoza kwa typing errors ni Simiyu Yetu. Hivi watu type ya Simiyu Yetu wangekua ndo editors wa Bible au Qur'an vitabu hivi vingesomeka? Sio kwamba baadhi ya amri zingemaanisha mengine?
Wana JF, Katika uandishi hakuna kitu cha mhimu kama editing. Tusiwe tunakurupuka tu kuandika na kupost bila kufanya editing. Hata taarifa nzuri hukosa maana. Hii inawahusu hata na NECTA, yaani ktk mitihani ya NECTA eti typing errors!
Kwa mfano unaandika maneno haya, umakini unatakiwa: tunagombana, ubao, pumba, kama,... kosa la herufi moja linasababisha kiama.I