Nimeumbiwa mateso

Nimeumbiwa mateso

ibra87

R I P
Joined
Jul 22, 2015
Posts
5,614
Reaction score
5,379
Nimevurugwa mwenzenu hapa nilipo sina usingizi na wala sijisikii kufanya lolote nimetafuta sehemu yenye Bar nikapoteze mawazo lakini hakuna iliyowazi muda huu.

Kwanini mimi lakini?
 
Nimevurugwa Mwenzenu hapa nilipo sina usingizi na wala Sijisikii Kufanya lolote.

nimetafuta Sehemu Yenye Bar Nikapoteze Mawazo Lakini Hakuna Iliyowazi Muda Huu.

Kwanini Mimi Lakini

Pole ..Take it easy.. instead to ask yourself why you should pray to find a Peace you have lost .. Pole sana .. Thanks..
 
Ahsante Mapenzi Matamu.. Unastahili kusimama Upande Wangu kwa Ushauri
 
Kichwa cha habari cha sread yako kina majibu, Kama una amini umeumbiwa mateso unatusumbulia nini? ondoa huo ukiri kwanza ndo urudi
 
Kichwa cha habari kinaongea na kinabeba maumivu yangu... Kuna sababu gani yakutokukiri Wakati ninayofanyia ni Jibu tosha?
 
Nimevurugwa mwenzenu hapa nilipo sina usingizi na wala sijisikii kufanya lolote nimetafuta sehemu yenye Bar nikapoteze mawazo lakini hakuna iliyowazi muda huu.

Kwanini mimi lakini?

Ukisema uwachunguze wengine utagundua kumbe wew ni kama uko peponi.
So,mshukuru Mungu tu kwa hali ulonayo
 
Ahsante Mkuu nahisi mapenzi nimeyakosea sana ndiyo maana yananihukumu
 
Kulikoni mwenzetu! Wamekufanyaje? Hakuna mwanadam aliyeumbiwa mateso ila ukikiri itakuwa hivyo kweli..kama ni mpenzi kakuvuruga tafuta mwingine atakayejua thamani yako.
 
Hakuna aliyeumbiwa mateso na usikiri mabaya

Unayopitia ni changamoto za dunia na zina mwisho
 
Ntafungaje ndoa wakati Mtu mwenyewe ndiyo hvyo

Kwahiyo ule mualiko ulokuwa unanifanyia nao vitisho vipi?? Si ulisema ni mtu wangu wa karibu(as if you know me)?? Au ndio huyu anayekuzingua? Hebu kabla hujalaumu mapenzi na wapenzi hebu jitathmini kwanza wewe.
 
Kulikoni mwenzetu! Wamekufanyaje? Hakuna mwanadam aliyeumbiwa mateso ila ukikiri itakuwa hivyo kweli..kama ni mpenzi kakuvuruga tafuta mwingine atakayejua thamani yako.

Utajisikiaje pale unafanya mawasiliano na mtu wako unapiga simu zaidi ya mara kumi hqipokelewi sms zaidi ya 30 hazijibiwi unaamua kulala harafu saa saba usiku mtu anakupigia simu anakwambia ndiyo nimerudi subiri nioge tuongee. kama ni ww utahisi nini dqda?
 
Kwahiyo ule mualiko ulokuwa unanifanyia nao vitisho vipi?? Si ulisema ni mtu wangu wa karibu(as if you know me)?? Au ndio huyu anayekuzingua? Hebu kabla hujalaumu mapenzi na wapenzi hebu jitathmini kwanza wewe.

Kukwambia Jana Nilikuwa najaribu Kutingisha Kibiriti nione kama kimejaa au ganda tu. lakini napitia kwenye wakati mgumu sana Atoto
 
Pole mwaya, ila usikate tamaa jaribu kutafakari ni wapi au nini unakosea then chukua hatua, ila muombe sana Mungu atakupa aliye chaguo la moyo wako na atakayekuwa sahihi kwako.
 
Natamani sana Huyu anayoongea maneno Haya ndio angekuwa Wangu
 
Back
Top Bottom