Siku hizi imekuwa kama fashion tangu hotuba ya dr. slaa imepita. Ukitongoza mwanamke utakuta anakuambia unanitaka mimi sawa lakini nataka kujua " unakuja kwangu kama liabilities au kama asset. "...
Ni miaka kadhaa siku kama ya leo nderemo za furaha kwa mama na baba mwekundu kumzaa mtto wao kipenz
am happy and u know that mwekundu ,wish u happy bday my love
I always pray all your birthday...
Namshukuru mungu kunipa nafasi ya pekee kutafakari hiyo slogan kw muda mwing mno isemayo mubaya alishazaliwa? Nikwel kwmb mubaya tayari alishazaliwa kw vigezo vifuatavyo first kuna m2 aitwaye...
1:Ujinga Ni pale unapo Sema mama ongea na mwanao wakati Unauza madawa ya kulevya
2:unapo Sema ccm mbele kwa mbele wakati Twiga anapanda ndege masai anapunga mkono
3:mbele kwa mbele bongo movie...
Natamani kukutana na watanzania pamoja na marafiki mbalimbali nikiwa njiani.
Tarehe 30 Septemba natarajia kwenda Afrika Ya Kusini kwa Basi. Nitasafiri mpaka msumbiji. Kutoka msumbiji nitapanda...
"Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe na kupuuzwa. Sasa tunataka mapinduzi, mapinduzi ya...
Mwadila
Wakati unakwenda na majira yanakwenda, wiki na siku zimeptta na sasa ni masaa amabayo tunakumbuka
siku muhimu ya mpendwa mwenzetu valentine kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwake leo.
Bila...
Mko wapi wakubwa nime wamiss sana,naombeni mlioko jamvini mjitokeze tukumbushane vituko tulivyo kuwa tukifanya ikiwemo kwenda kuchumbia ile mitaa ya
milimani kwa warundi tunapatanisha mahali...
Ndege iko ubali wa futi 20,000 kutoka usawa wa bahari,Mwendo kasi kwa sasa ni 2,000km/hr.Ndege hii ni mpya tofauti na mliyoizoea kwa miaka 54.Inatarajia kuwasili katika nchi ya uchumi wa kati na...
Tangu nijiunge JF Leo kwa Mara ya kwanza nimepita kwenye hii Forum.
Sikujua kuwa JF kuna Forum kama hii, sasa nikawa nabofya bofya nikafika huku. Tangu alfajiri ya saa 9 niko macho kodokodo...
Najua muda na majukumu uliyonnayo ila jitahidi kusoma hadi mwisho utaoata cha kukusaidia
Usipate uvivu kusoma tafadhali
Kwa wale tunaojiandaa kuoa au kuolewa karibuni
Unaoa/kuolewa ili...
Hamjambo
Katika maisha unaskia ushauri na misemo mingi kuhusu jinsi kuishi na kufanikiwa kimaisha,kwa mimi ushauri ambao nitaushikilia daima na sitouacha ni "USISOMESHE MCHUMBA" ambao niliupata...
HABAR! WANA JF
NAOMBA DUA ZENU NPO KTK GARI NAELEKEA SOMANGA KILWA NAENDA KUFANIKISHA HARUS YA DADA YANG MPENDWA Zinduna Kuwandu ITAKAYOFANYIKA SIKU YA 05-09-2015 SOMANGA KILWA KARBUNI SANA WAPENDWA
Confess any behavior or a notion that you have, that you think is kinda weird to others but you're still unapologetic about it.
E.g....I hardly wash my hands after i'm done peeing....don't judge me.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.