Ndege iko ubali wa futi 20,000 kutoka usawa wa bahari,Mwendo kasi kwa sasa ni 2,000km/hr.Ndege hii ni mpya tofauti na mliyoizoea kwa miaka 54.Inatarajia kuwasili katika nchi ya uchumi wa kati na kasi maendeleo ya ndani ya robo ya muda mlioouzoe kwenye ndege ile ya yenye umri wa miaka 54.Abiria furahiyeni safari yenu kwa viburudisho mbali mbali vikiwemo katiba mpya ya wananchi,kasi ya maendeleo,uchumi wa kati,kuimarisha nishati ya umeme kwa garama yeyote,elimu bure,ajira kwa vjjana,usafiri wa uhakika,huduma za kijamii zilizoboreshwa.Abiria mliopo na ndugu zenu mnakaribishwa sana kwenye safari salama na uhakika.Ndegec ya zamani ni mbovu hata ikifanyiwa ukarabati haitaweza kutumika zaidi ya 25/10/2015.Crews take positions,we about land smoothly