Cyber crime oyeeee...

Cyber crime oyeeee...

Toka ianze watu wamepunguza kutukana, ku comment matusi....

Tz waoga oyeeee

Ni Kweli Hata Mimi Naona. Naona Watu Humu Sasa Wamekuwa Wema, Watiifu Na Wana Adabu Kama Ya Kijana Wao Mfano Wa Kuigwa Gentamycine Ambaye Ana NIDHAMU Nzuri Na ILIYOTUKUKA Humu JF Na Si Vibaya Vijana Wengine Wote Humu Mtandaoni Wakaiga Haya Mema Yake.
 
Back
Top Bottom