KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Kwa wale wakongwe watakua wanamfahamu hawa members, nawaulizia ka bado wako humu.
Igweeeee
Mkuu nakusalimia i,e ugonile nnkamu.
Hawa watu sijui wamepotelea wapi......
Labda wameolewa
ndo nayo ni full time job
Aiseee....! KakaJambazi hawa wapo sana tu...sema kipindi hiki wamehamia jukwaa la stress!
BADILI TABIA miss you
Hata huyu raia niliyem-quote naye maji kupwa maji kujaa...
Huwa anapotea kama mizizi ya mawe...
Hata huyu niliyemquote pia ni walewale!
Mzima kamanda?
Kwema mkuu...
Hii mitaa sio siri tumeadimika wengi aisee...
Niaje kipande hiyo...?