Kwa waliosoma Geita Secondary School 1995-1998 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliosoma Geita Secondary School 1995-1998

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Idimulwa, Jan 26, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mko wapi wakubwa nime wamiss sana,naombeni mlioko jamvini mjitokeze tukumbushane vituko tulivyo kuwa tukifanya ikiwemo kwenda kuchumbia ile mitaa ya
  milimani kwa warundi tunapatanisha mahali tunachinjiwa kuku then tuna sepa kimoja na tunaibukia siku nyingine kwenye mji mwingine,mpaka tulipokuja shitukiwa baadaye saaaana.Shule ilikuwa maarufu sana kwa vurugu na shule ilijulikana sana kwa jina la GESECO kuliko kirefu chake
   
 2. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2015
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mm nimepiga pale miaka ya 93 na 94 utazani Chuo cha kijeshi
   
Loading...