JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama kawaida najua kuna wale wanaojifanya much know wenye viherehere vya kutoa comments hata ambazo hazihusiani na mada yenyewe ambao hawataacha kutupia mitusi yao hapa. Ruksa kwa raha zako!!! Ktk...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu ni muda sasa sijamsikia mkuu huyu sangarara,ni kitambo alitoa taarifa kuwa anaumwa! Je mkuu unaendeleaje???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna aina kuu 8 za vitambi kama ifuatavyo; 1.Vitambi vya mawazo. 2.Vitambi vya umasikini. 3. Vitambi vya utajiri. 4. Kiroba tumbo. 5. Vitambi vya madeni. 6. Vitambi...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Dah aisee hatari sana nilitamani ardhi itoboke baada ya kushikwa na mwalimu napiga chabo. ilikuwa kidato cha 2 Azania wakati tunafanya mtihani ticha si akatoka nje bwana,kumbe alizunguka kwa nyuma...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Zamani zile michezo ilikuwa mingi na ilikuwa na burudani tosha kwetu ila siku hizi watoto wanajua katuni na games za kwenye TV na simu.Mimi enzi hizo nilipenda sana rede ila kuzinga tu kwani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ngoma inatisha zaidi ya Osama au CCM, kuna jamaa alikua anakidonda kidoleni sasa akajisahau bana si akagusana na muathirika wa UKIMWI aliyekua amechubuka kwa kutumia ule mkono wake wenye kidonda...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
"Nieleze siri ya mafanikio...." "Sio siri, ni revolla!" " Revolla peke yake?" " Ndiyo...kwani marashi yake ni tulivu, na huniacha fresh, mchana kutwa..." Jamani hivi yule binti alishapotelea...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna tofauti kubwa kati ya wasichana hawa wawili katika kigezo cha status zao wanazopost kwenye whatsapp profile picha zao. Niambie wewe umegundua nini katika status zao hawa wasichana wawili.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
JOKE OF THE DAY MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yani Message anazijibu kwa mariingo sometimes ana soma alafu ana kausha nampiga mistarii wiki ya pili hii.. alafu sasa ni mzuri kweli yani nimemuuliza kama ana boyfriend ataki kunipa jibu ...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mdada ambaye tumekuwa tukidetiana kama miezi mitatu hivi na alinambia hana mtu kwani mtu wake yupo Gaborone jana kaniambia nimpitie kwake jioni tukapate dinner pamoja nikafika hapa kwake saa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
1: Vikombe havina mshikio wakati kahawa ni ya moto 2; Hawaweki sukari wakati kahawa ni chungu 3: Vitafunwa vyake ni kashata tu na wala siyo keki, maandazi, n.k. 4: Wanatembea na moto wakati...
5 Reactions
17 Replies
4K Views
Baada ya ugomvi wa siku nzima, mume na mke hawaongeleshani. Mume alikua anasafiri kesho yake mapema sana, kwa kuwa bado alikua na hasira, alishindwa kumwambia mke wake amwamshe hivyo aliamua...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Je, ni kitu gani huwa ukikimbuka unacheka mpaka basi? Kitupie hapa.
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Mimi nimezoea kufundisha darasani sasa nakuja kukuta barua nimechaguliwa kuwa mkuu wa shule aaarghhh. Cha kushangaza zaidi nimechaguliwa shule ya wanawake. Kwa kweli nimefundisha Weruweru na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Watanzania ni walalamikaji sana. ..hii nafananisha na mtu kulalamikia kunguni wanaomng'ata usiku alafu asubuhi anasahau. . Ukimwambia atupe godoro anasema amelizoea lakini haishi kulalamika.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MARA YA KWANZA KUNUNUA SALAMA CONDOM *************** *************** ********************* Nilienda dukani, nikakutana na mrembo anayeuza hapo dukani, nikawa naona aibu kusema nataka kununua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Guys nahitaj msaada wa utaratibu na ratiba za hii club mpya kwa wale wadau. If possible na club billcanas pia.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu hatimaye nimefanikiwa kuongeza miaka 50 ya kuishi hapa duniani, mi nipo hapa Kaole Bagamoyo nikitokea Iringa, hapa Kaole kuna mti wa mbuyu mkubwa ambao unakadiriwa kuwa na umri wa miaka 800...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
It is with bulky reluctance that I chapfallenly exhibit my valediction after a perpetual, conciliatory, and debonair stay in Tanzania. Although we never got to comprehend each other, the much we...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom