Tujikumbushe: Ushawai kupiga chabo chumba cha mtihani?

Tujikumbushe: Ushawai kupiga chabo chumba cha mtihani?

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,198
Dah aisee hatari sana nilitamani ardhi itoboke baada ya kushikwa na mwalimu napiga chabo. ilikuwa kidato cha 2 Azania wakati tunafanya mtihani ticha si akatoka nje bwana,kumbe alizunguka kwa nyuma akaenda kukaa dirishani
 
Matokeo yakawaje?
 
Nilipokuwa nafanya mtihani seven wa hisabati nimeigia na kikaratasi a.k.a kibomu, teacher akinipa mgongo nashuka mpaka nikamaliza, ile nataka kupeleka paper msimamizi mkuu akamwambia teacher andika copy kumbe msimamizi mkuu alikuwa ananiona tangu mwanzo hadi mwisho.
 
Duh noma sana ila mm ilinisaidia kwn nifauli kwa chabo
 
na mimi pia niliandika kijikaratasi na kukiweka kwenye tai shngoni bahati mbaya nilikamatwa na halikuwemo hata swali 1.lakn haikutosha, kwa darasa letu tulikua tukisaidiana machaguo kwa mtindo huu...mtu akikuonyesha pua jibu ni A akikuonyesha sikio jibu ni C mengne nimesahau
nitarudi.................
 
Hahahahaha
 
nmekumbuka mara yangu ya kwanza kuibia, ile nafika university nmechelewa kuripot mwezi 1, nakutana na test ya climatology ilibidi niibie ctasahau nmechabo huku natetemeka duu
 
Hahahaha niliandika kibomu nikashindwa kutumia kwenye mtihani kwasababu ya hofu maana nilikuwa kama traffic kwenye chumba cha mtihani mikono ilikuwa nyang'anyang'a kwa wasiwasi lol sitaki kukumbuka siku hyo
 
Mkuu chabo ni kipaji kama ilivyo soccer kwa Messi, don't try it kama wewe kipaji chako ni kukariri😀😀😀
 
Qwikwii
Class kuna pazia ukiplus na upepo huwa zinasaidia sana kwa wanaokaa mstari wa ukutani.
adi huwa mtu unafurah
4 4 2. 4 4 6
qwikwiiii
Ila cc wa ktkt qwikwiiii
 
Nilikamatwa napiga chabo (a.k.a mzola) na msimamizi daah nilitetemeka nusura nimwage bia yangu,sintosahau kamwe!!!
 
Back
Top Bottom