Fungua hapa: Kitu gani ukikikumbuka huwa unacheka sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fungua hapa: Kitu gani ukikikumbuka huwa unacheka sana?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by hamic mussa, May 6, 2012.

 1. h

  hamic mussa JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je, ni kitu gani huwa ukikimbuka unacheka mpaka basi? Kitupie hapa.
   
 2. K

  Kayinga junior Senior Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  joti nakundi lake wakiwa EATV
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwani sasa wamefulia kama walivyokuwa wanawatania wenzao?
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vyoo vya shule nikiwa sekondary mtu anaingia chooni akishakunga anachukua mavi na kupiga nayo chata ukutani hapo ndo niliamini shm ya public ina vituko!
   
 5. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,541
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Jinsi George Bush alivyokwepa kiatu cha mwandishi wa habari.
   
 6. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mheshimiwa mmoja alipowaambia wananchi wa kigamboni kama hawana hela ya kupanda pantoni wapige mbizi
   
 7. Lord K

  Lord K JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siku Mkuu wa wilaya alivyo walamba fimbo waalimu..
   
 8. suri

  suri JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mtakula nyasi lakini ndege ya rais lazima inunuliwe
   
 9. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku nilipo kunywa pombe nikiwa mdogo kisha nikajifanya sijanywa
  Baba akanituma nikachote maji kwenye Beseni nikachota nika beba kutumia kichwa
  Kufika nyumbani hakuna maji hata kidogo
   
 10. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 684
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Siku waziri wa fedha Zakia Meghdi alipolia bungeni baada ya Kubanwa na Halima Mdee na spika Sita akamlazimisha kujibu Swali huku analia.
   
 11. nameless girl

  nameless girl JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 3,825
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  siku wabunge walivyolazimika kuongea lugha ya kithungu bungeni
   
 12. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku Thobis Angengenye aliposema " CHADEMA=CHAMA CHA DEMOKLASIA NA MAANDAMANO"
   
 13. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 610
  Trophy Points: 280
  M'k'were alipojibu "hajui kwa nini wa tz ni maskini"
   
 14. p

  pansophy JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Daily bledi hahaha lol
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,617
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  Siku mzee ruksa Mwinyi alipokula "kelebu"
   
 16. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siku Waziri Mkubwa alipo dondosha chozi bungeni
   
 17. E

  EVODIUS RWECHUNGURA Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku muheshimiwa alipokuwa akitaja OTU badala ya UTO.
   
 18. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,071
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Cku ya kidhungu bungeni,im ma..im coming from Cuf mbeya
   
 19. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siku mh. Mmoja aliporambwa mbarati baada ya kupatikana na hatia ktk kosa la rushwa enzi za mwalimu.
   
 20. holygrail

  holygrail JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  cku nliyokuwa nnajifunza lugha ya kituruk kabla ya kuingia chuon...kwny tren nkamkanyaga mtoto wa kituruk sa baada ya kumwambia samahan...nkajkuta namwambia kuwa na afya njema kwa kituruk( huambiwa watu wakiwa wanakula). bac kwny tren watu wakanza kuangua kicheko! lol! nkabak nnashanga hawa wanacheka nn? coz mwnyw nlikuwa naona nko sawa 100%. ile kushuka wezang wakaniambia kuwa nlikosea. dah! nliumbukaje!!!
   
Loading...