boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
1: Vikombe havina mshikio wakati kahawa ni ya moto
2; Hawaweki sukari wakati kahawa ni chungu
3: Vitafunwa vyake ni kashata tu na wala siyo keki, maandazi, n.k.
4: Wanatembea na moto wakati kuna vitunza joto (chupa ya chai)