Kutoka facebook

Kutoka facebook

yampwai

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
27
Reaction score
6
MARA YA KWANZA KUNUNUA SALAMA CONDOM
***************
***************
*********************
Nilienda dukani, nikakutana na mrembo anayeuza hapo dukani, nikawa naona aibu kusema nataka kununua condom, akagundua mwenyewe na kuniambia unataka salama eeeh?

Nikasema ndiyo, akaniambia unataka pakti ngapi? Nikamwambia mbili, yenye condom tatu kila moja (jumla condom 6), aliniona sijawahi ku- do, akaniambia unafahamu kweli jinsi ya kutumia salama?

Nikamwambia hapana,akafungua pakti na kuifungua salama moja,akaanza kunionyesha jinsi ya kuvalisha, akaanza kuivaalisha kwenye kidole chake cha gumba na kunieleza kwamba unavalisha hivi,bado akaniona nashangaa tu, akaniambia hivi ushawahi kweli kusex?

Nikamwambia hapana, sijajaribu hata mara moja, akaniambia njoo ingia humu nyuma ya shelfu nikuonyeshee jinsi ya kutumia salama, akafunga mlango, akaniambia nivae kama alivyonielekeza, nikaanza kuvaa, duh si akalala chali, akaniambia fanya
hivi na hivi,baada ya up and down kama kumi nikasikia kitu hicho tse tse tse tse tse tse,tse.

Si akaruka juu na kunisukuma na kusema ""weeh! mbona nahisi unyevu flani umevaa kweli salama? Nikamwambia nimevaa kwenye kidole gumba kama ulivyonielekeza.
 
Back
Top Bottom