Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
leo chama cha pool table tanzania kimetangaza kutompokea juma nyoso kwenye mchezo wao, na wanafanya hivyo kujihami kwani kwenye mchezo wao wanahisi ndio atakuwa hatari zaidi.
Nyoso akiwa mgeni rasmi itakuwa ni hatari aisee!!Ila kuna watu wamezidi kuinama kwa mbwembwe wakicheza pool table, ni vema nyoso apate ugeni rasmi huko awanyenyue kidogo.
Ila kuna watu wamezidi kuinama kwa mbwembwe wakicheza pool table, ni vema nyoso apate ugeni rasmi huko awanyenyue kidogo.