Yako Wapi Mapenzi....!!!!

Yako Wapi Mapenzi....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam,
nakumbuka kipindi flani back in days,i had a quarrel with my back then girlfriend. Tuliargue sana siku hiyo na kurushiana maneno sana and for weeks tukawa hatuongei. Nakumbuka siku hiyo nimekaa shoko pale mbezi bondeni, nina pata kilaji kidogo huku nalitafakari swala la kugombana na mpenzi, kwa mara ya kwanza ndio nausikia huu wimbo wa Bella - yako wapi mapenzi. Ukicheck na situation niliyokuana nayo, niliona kama jamaa alinitungia. That was years back then...
 
Attachments

Hahaahaaaaa huu wimbo unafaaa pia kutumika kwenye ile filamu inayoendelea sasa hivi nchini ambayo sterling wake sijui anaitwaje vile?
 
Hahah una utani na mmiliki wewe mkuu Elli
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu, mimi uwa napendaga sana anna na jasmin wa ngwasuma, ukinikuta maeneo hujui kama ni kijana leo.
 
Thankx mkuu japo miaka ishapita, sio siri muziki wa bendi unabamba sana mkuu asikwambie mtu!
 
aaaah nakumbuka mwaka 2009 wakati mpenzi wangu Anna unaniacha na kuenda kuolewa na bwana mwingine ...lakini silaumu maana mpaka leo nakupiga kazi kama sina akili nzuri japo umeolewa
 
Salaam,
nakumbuka kipindi flani back in days,i had a quarrel with my back then girlfriend. Tuliargue sana siku hiyo na kurushiana maneno sana and for weeks tukawa hatuongei. Nakumbuka siku hiyo nimekaa shoko pale mbezi bondeni, nina pata kilaji kidogo huku nalitafakari swala la kugombana na mpenzi, kwa mara ya kwanza ndio nausikia huu wimbo wa Bella - yako wapi mapenzi. Ukicheck na situation niliyokuana nayo, niliona kama jamaa alinitungia. That was years back then...
niliwahi sikia kuwa huu wimbo ulikuwa umebeba ujumbe kwenda kwa mkuu wa kaya !!!!??
 
aaaah nakumbuka mwaka 2009 wakati mpenzi wangu Anna unaniacha na kuenda kuolewa na bwana mwingine ...lakini silaumu maana mpaka leo nakupiga kazi kama sina akili nzuri japo umeolewa
kumbe wewe ndo unanipigia anna wangu, nashukuru sana, sasa leo akirudi atakoma. na wewe jiandae kidude chako kuhama hapo kilipo naenda kwa babu maana bastola sina. teh teh teh
 
Christian bella ni kiboko wa tungo za mapenzi hana tofauti na diamond
 
Salaam,
nakumbuka kipindi flani back in days,i had a quarrel with my back then girlfriend. Tuliargue sana siku hiyo na kurushiana maneno sana and for weeks tukawa hatuongei. Nakumbuka siku hiyo nimekaa shoko pale mbezi bondeni, nina pata kilaji kidogo huku nalitafakari swala la kugombana na mpenzi, kwa mara ya kwanza ndio nausikia huu wimbo wa Bella - yako wapi mapenzi. Ukicheck na situation niliyokuana nayo, niliona kama jamaa alinitungia. That was years back then...

Utafute na huu wimbo wake mwingine wa Msaliti..umezoea kuonja kwa kila mtu eti kisa wewe ni mwanamke mzuri sana...unatamani hadi ndugu zangu...anatoka nyumbani na baibui akifika njiani ana kimin..yaani huu nao ni majuto tu.
 
aaaah nakumbuka mwaka 2009 wakati mpenzi wangu Anna unaniacha na kuenda kuolewa na bwana mwingine ...lakini silaumu maana mpaka leo nakupiga kazi kama sina akili nzuri japo umeolewa
hahaha mkuu pole japo on the other side we si mtu mzuri kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom