Mamayee!
Weka picha ya hayo matope.
wakuu leo nimeamka na matope miguuni asubuh wakati najiandaa kwenda kongo,nimeshtuka baada ya kujikuta nina matope asubuhi na najua hawa ni wachawi tu. nasema SHIKAMOO WACHAWI
Aseeeeeeee umefanya kiislamu
you know what i mean nasepa na sirudi maana faiza foxy akinikamata nafwaaaaaaa
shkamoo
Marahaba!!!!!!!kwa hiyo unasemaje!
marahaba kijana, sasa shikamoo peke yake haitoshi uanze kusali ili tusije tenaWakuu,
Leo nimeamka na matope miguuni asubuh wakati najiandaa kwenda kongo,nimeshtuka baada ya kujikuta nina matope asubuhi na najua hawa ni wachawi tu nasema.
SHIKAMOO WACHAWI