Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

Vichwa vya habari za magazeti baada ya Oct 25!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,318
Reaction score
25,111
Baada ya Oct 25 magazeti yatakuwa yamebeba headlines mbalimbali, hebu twende nazo hapa!

Nipashe: UKAWA juu
Uhuru: CCM kidedea,
Mtanzania: Historia mpya yaandikwa!
 
Naanzisha langu; gazette heading hii hapa: SIRI YA USHINDI HII HAPA.
 
Mwandishi makini akusanye na kutunza vichwa vya habari vya magazeti yote kuhusu uchaguzi wa 2015, avifanyie udadavuzi. Baada ya kura kutanganzwa na mshindi kutangazwa turejee udadavuzi huo. Wanahabari na wamiliki wa magazeti mpo!
 
Ccm tumbo joto. Tume ya uchaguzi yashikwa na kigugumizi, yashindwa kutangaza matokeo.
 
Magufuri ashinda kwa kishindo,aahidi kuwashughulikia lowasa,rostam na mengi.
 
Lowassa ashinda kwa kishindo,JK na familia yake watorokea Marekani.(MAWIO)
 
Duuuu,langu litakuwa hivi:-
Siri nzito yagubikwa madudu ya kura za rais,tume ya taifa yapata kigugumizi.
MUNGU TUNUSURU.
 
Back
Top Bottom