Wapendwa wana MMU leo tarehe 15/10/2015 ni siku ambayo mdau mwenzetu dada Apologise lady anakumbuka siku yake ya kuzaliwa.
Tunafahamu kuwa kwa kila binadamu hii ni siku muhimu sana maishani hasa kutokana na kuwa ni siku ambayo mtu anapiga hatua moja mbele kiumri. Lakini pia ni siku ambayo binadamu anakaa na kutafakari maisha yake "alikotoka na anakokwenda".
Basi sote tuchukue hatua ya kumtamkia maneno ya HERI mwenzetu huyu ili MWENYENZI MUNGU azidi kumpigania katika maisha yake yeye na familia yake siku zote za uhai wake.
Neno langu kwa Apologise lady ni moja tu, aendelee kutambua na kutukuza ukuu wa MUNGU maishani mwake kila inapoitwa leo.