Majhura fikiri
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 121
- 13
Habari wana jf,
Wenzangu, mimi swali langu ni Eti mapenzi bila sex inawezekana?

fikiri jina lako au aka?
Kwani wewe unaonaje
mimi naona haiwezekani?
Haiwezekani hata kidogo,mtu anaekupenda bila sex ni muongo, mnafiki, mzushi, mkatili na anafaa kupuuzwa
Sasa kama umeshaona haiwezekani kikichokuleta humu ni nini?
Haiwezekani hata kidogo,mtu anaekupenda bila sex ni muongo, mnafiki, mzushi, mkatili na anafaa kupuuzwa
Nadhani utafute mafundisho ya dini yako yanasemaje
mafundisho gani?
Haiwezekani hata kidogo,mtu anaekupenda bila sex ni muongo, mnafiki, mzushi, mkatili na anafaa kupuuzwa
Umesahau umeuliza nini? Tafuta mafundisho kuhusu mambo hayo ilioulizia. Kama huna dini basi utafute muongozo wa humu na sehemu nyingine
Haiwezekani hata kidogo,mtu anaekupenda bila sex ni muongo, mnafiki, mzushi, mkatili na anafaa kupuuzwa
Haiwezekani hata kidogo,mtu anaekupenda bila sex ni muongo, mnafiki, mzushi, mkatili na anafaa kupuuzwa
Na mm nasubiri jibuKwa hiyo mpendwa, mapenzi yangu kwako na wapendwa wengine unayaita unafiki? I'm hurt.
ili ni pate uhakika wa jibu langu na mawazo tofauti kama unaona na boa mkuu lol outa
Mafundisho ya dini yanaelezea kama inawezekana au haiwezekani?Nadhani utafute mafundisho ya dini yako yanasemaje