Tofauti ya Ukopaji kati ya Mzungu na Mswahili.

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday.

Mswahili: Kaka vipi, shwari? Dah hatuonani mzee, vipi mishe, mnatunyima nini, juzi nimekuona kwa mbali shavu dodo full kipupwe, siye tupo bwana, shida tu, halafu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo,na Muhasibu kasafiri wanasema itatoka next week, hapa nimekwama, naweza pata ka laki ka karibu hapo ntarudisha mwisho wa mwezi...
 
Heheheeee shida ni kwamba akipewa atalipa????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom