Happy Birth Day MO11

Happy Birth Day MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,698
Reaction score
42,013
Nina furaha sana kuzaliwa siku tarehe kama ya leo nyundo kadhaa
wana Jamiiforums wenzangu tujumuike pamoko

(kama nimeshika mike naongea)

27-11
bila kusahau nasherekea siku moja na sista la masista langu lenyewe Khantwe
aiseee ni furaha kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako...
 
Happy birthday to you

Happy birthday to you

Happy birthday to you

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11
 
Watu wa kubania starehe utawajua tu,unaanza kutoa report sahizi maana unajua mida hii hakuna wa kuja kusherekea.


Btw happy birthday najua umekula chumvi nyingi
 
Nina furaha sana kuzaliwa siku tarehe kama ya leo nyundo kadhaa
wana Jamiiforums wenzangu tujumuike pamoko

(kama nimeshika mike naongea)

27-11
happy birthday

how old are you
 

Attachments

  • 1417041147374.jpg
    1417041147374.jpg
    33.6 KB · Views: 123
Njoo nikuogeshe ,
Nikutawaze
Alafu nikuvalishe nepi......ukacheze na wenzio nje......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Njoo nikuogeshe ,
Nikutawaze
Alafu nikuvalishe nepi......ukacheze na wenzio nje......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

na usisahau kumfundisha karate mana mahousegirl sasa wamecharuka......
 
Happy birthday to you

Happy birthday to you

Happy birthday to you

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Happy birthday to MO11

Nimeisoma comment yako hadi kizunguzungu

btw thanks
 
Watu wa kubania starehe utawajua tu,unaanza kutoa report sahizi maana unajua mida hii hakuna wa kuja kusherekea.


Btw happy birthday najua umekula chumvi nyingi

Mkuu mbona new year huwa tunasherekea 0000

Uko wrong kwenye umri wangu aiseee ndio kwanza nina miaka 7

btw thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom