Swali chokozi

Swali chokozi

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,785
Reaction score
31,298
Kwanini mwanawake anaumia usipompigia simu?Na ukimpigia anafurahia sana kama mtoto uliyemletea pipi!Kwani nao ni watoto?
 
Ndo tulivyo tu maskini, tunajali sana tu Vitu tudogo tudogo. Tunatawaliwa sana na hisia
 
Kwanini mwanawake anaumia usipompigia simu?Na ukimpigia anafurahia sana kama mtoto uliyemletea pipi!Kwani nao ni watoto?

kuna vitu uwe unapotezea usiwazoeshe sana, mfano kumpa maneno mazuri kupitiliza mkiwa faragha, siku akichepuka atakupigia cm za mahaba mengi ili apate stim huko aliko.
natania mkuu! ukweli wako bado mtoto akifika ubibi kama wangu hata simu yenyewe anachelewa kupokea mata aiweke loudspk anaona kero tu.
 
Back
Top Bottom