SPECIAL ANNOUNCEMENT.
Wakuu, tarehe 5 December tutakua na special events kwa member wote wa jf itakua ni cocktail and mocktail party kuhusu venue itakua katika moja ya fukwe maarufu hapa Dar fukwe hiyo itawekwa wazi very soon just stay tuned, kila mwa jf atatakiwa kufika na wa ubavu wake original na muvalie mavazi ya rangi nyekundu kuudhirisha upendo wenu.
Watu watakunywa macocktails na mocktail mpaka kuchele pia watachapa ma baga na piza na kila aina ya msosi, kwa upande wa burudani watakuepo wasanii maarufu kutoka marekani, Nigeria, uaraabuni, Kenya na Congo bila kusahau wasanii wa Kibongo bila kusahau ndondi, kuogelea na rede na mdako, wote mnakaribishwa.