Wakiwa bar wanasubiri mhudumu, Jamaa
akamuuliza demu wake, "Baby unatumia Facebook?" Demu kujifanya na yeye ni wa mjini kwa maringo na pozi kibaoo akajibu, "Ndio natumia ila isiwe ya baridi sana."...
Kisa cha mwanamke wa ziwani – 2
Inaendelea......
USHAHIDI huo maarufu kama Jailhouse Snitch ndio uliopewa uzito zaidi na polisi katika kumtia Gordons hatiani. Walidai kuwa katika kipindi cha...
RIWAYA: ANGAMIZO
MTUNZI: HALFANI SUDY
SIMU 0674 395733
WHATSAPP 0757633010
SEHEMU YA PILI
ILIPOISHIA JANA
"Tunaweza kuonana baadae sehemu tofauti na hapa?"
"Bila shaka"
WalibadiLishana namba zao...
RIWAYA: ANGAMIZO
MWANDISHI: HALFANI SUDY
SIMU: 0674 395733
Whatsapp 0757 633010
Sehemu ya Kwanza.
Ilikuwa jumatatu tulivu sana katika mitaa ya jiji la Arusha, jiji lilipo kaskazini mwa nchi ya...
Wakuu jana nilipita pale mbugani mikumi cha ajabu nilikutana na mbwa wa kawaida akirandaranda ndani ya mbuga ya wanyama wakali kama simba na chui, sasa sijui mbwa hawaogopi simba na chui?
Kisa cha mwanamke wa ziwani – 1
Aliuawa, mwili ukazamishwa majini kwa miaka 21
Ulizamishwa kwa kufungashiwa vitu vizito usiibuke
AGOSTI 12, mwaka 1997, majira ya mchana katika Wilaya ya Lake...
mama mmoja mlemavu wa mguu kaja jijini kumtembelea bintiye ambaye ni mkurugenzi wa kampuni fulani,binti hakufurahishwa na ujio wa mamaye kwani kwa hadhi aliyonayo aliona kama fedheha kuwa na mama...
kwani huyo wema ndona nani wakuteka media sasa kwani yeye akipata mchumba wengine ina wahusu nini hayo si maisha yake binafsi yaani mpaka bbc nao wanakaa kuitengenezea habari eti wema kapata...
TUCHEKE KIDOGO
John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu.
Mara ile ile...
Mzee mmoja mwenye heshima zake alipita mtaa fulani uswahilini akakuta
vijana wamejipanga barabarani kwa
furaha.
Mzee akauliza, "Vijana kuna nini hapa?"
Kijana mmoja akamjibu, "Tumeambiwa kuna...
Jamaa mmoja bausa alikuwa kapumzika
mahali fulani anakula upepo. Mara akatokea
dogo mmoja akamuuliza, "Bro, saa ngapi?" Bausa akajibu, "Ondoka hapa usinisumbue!"
Dogo akamwambia, "Siondoki mpaka...
hawa watoto ni wacheza filamu wa kinigeria,nimeanza kuwaona kwenye tasnia hii kwa kipindi kirefu sasa hata zaidi ya miaka kumi na tano.ajabu ni kwamba taswira na muonekano wao haubadiliki,hawakui...
"Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke
mjane aliyekua na binti mkubwa tu na mimi na
huyo mjane tukaamua kuoana. Baadaye baba
yangu akamuoa binti yangu wa kambo (yaani
binti
wa huyu mke...
History Ya Valentine Day
★★★★★
Asili yake ni sherehe ya kipagani iliyoanzia mjini Rome Italy.Ikaingia kuwa ya kidini na sasa imekuwa ikitumika kama ni msimu wa kufanya biashara huria ambapo...