Hahahaaaaaaaaaaa,mkuu huo ni ukweli kwa kiasi fulani,watu wa dar wengi wanaishi kiujanja ujanja sana,hawana shughuli maalum,hawaoni hatari kuwaingiza mjini hata ndugu zao wa karibu wasio wa dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.