Hakuna mtihani mgumu kama kumkamata samaki PWEZA

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wavuvi wanaujua muziki wa pweza kumkamata ni kimbembe na ndio maana baadhi ya wavuvi uenda kwa kalumanzira hili kupata dawa ya kumdaka pweza.

Nasikia ukibugi akakuwahi your dead,maana ile mirija yake itakujalia puani,machoni,masikion,mdomoni, na akidanda kwenye mwamba wa jiwe ndio ushamkosa huyo anaganda zaidi ya super glue.

Huyu ndie PWEZA.
 
hadisi hadisi njoo utamu kolea, naona unatufanya wajukuu zao sie umehadisiwa then unakuja kama unajua habari za pweza wakati sie twawala kila leo
 
Leo watu wa pwani hatutii neno mtabaki nao uzushi wenu sie bado tunagaragara na Jecha huku+
 
Wavuvi wanaujua muziki wa pweza kumkamata ni kimbembe na ndio maana baadhi ya wavuvi uenda kwa kalumanzira hili kupata dawa ya kumdaka pweza.

Nasikia ukibugi akakuwahi your dead,maana ile mirija yake itakujalia puani,machoni,masikion,mdomoni, na akidanda kwenye mwamba wa jiwe ndio ushamkosa huyo anaganda zaidi ya super glue.

Huyu ndie PWEZA.
We dogo huwa una vistor vya kizushi
Una post vi thread vya uongo kumsifia kiba sijui huwa nani kwako
Leo tena unatushika maskio na pweza
Kwanza unakaa pwani ya wapi wewe
 
Kwahiyo pweza ni ndege??.
Pweza si ndege wala si samaki.

Nakuuliza swali; unazijua sifa za samaki na ndege?,kama unazijua zinafanana na za pweza?.

Kwa kuelezea kidogo; pweza ni mnyama(Animalia) katika phylum mollusca na class cephalopoda wakati samaki ni mnyama wa phylum chordata na class either chondrichthyes au oesteichthyes.

pweza ana mioyo mitatu wakati samaki ana moyo mmoja.

pweza hana magamba wakati samaki wengi wana magamba.

samaki wana uti wa mgongo pweza hawana uti wa mgongo.

Tofauti ni nyingi mno kwa kifupi pweza anafanana zaidi na konokono kuliko samaki.
 
Ko pweza ni konokono:(
 
Ko pweza ni konokono:(
N'yadikwa,hakuna mahala nimesema pweza ni kononoko.

Nilichosema ni kwamba "pweza anafanana zaidi na konokono kuliko samaki".

In facts, ni kweli pweza anafanana mno na konokono kwa sababu wote ni animalia wanaopatikana katika phylum mollusca.

Wanashare sifa nyingi tu ikiwamo;kuwa na miili laini(soft body),bilaterally symetrical,kuwa na coelom cavity na kadhalika.
 
Pweza si ndege wala si samaki.

Nakuuliza swali; unazijua sifa za samaki na ndege?,kama unazijua zinafanana na za pweza?.

Kwa kuelezea kidogo; pweza ni mnyama(Animalia) katika phylum mollusca na class cephalopoda wakati samaki ni mnyama wa phylum chordata na class either chondrichthyes au oesteichthyes.

pweza ana mioyo mitatu wakati samaki ana moyo mmoja.

pweza hana magamba wakati samaki wengi wana magamba.

samaki wana uti wa mgongo pweza hawana uti wa mgongo.

Tofauti ni nyingi mno kwa kifupi pweza anafanana zaidi na konokono kuliko samaki.
Asante sana mkuu!!!,mimi maisha yangu yote nilikuwa ninajua kuwa Pweza ni Samaki,asante kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom