Jamani haya maneno yana ukweli kwani sisi mnatuuzia??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
0209c3595af24f18256db62d248231e1.jpg


Akina dada mmefanya mtaji eti. @misschagga
 
Haya mambo yakufanyana source of fund mie siyapendi kabisa....!!!
 
aaaah....kawaida sana.bila kuchunwa huwezi kutafta pesa mingi.na kama huyui kuonga wanawake wote wazuri utawaita shemejiiii....
 
Back
Top Bottom