Ni Nani Kati ya hawa na wengine amefanya physics kuwa ngumu shuleni

Talented Land

Senior Member
Feb 4, 2016
157
135
Wanajamii habari zenu,

Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ).

Zote hizo zimeundwa na wanasayansi wenye vipaji asilia ili zisomwe na watu wa kawaida.

Je Kati ya hawa Nani alileta vitu complicated (vigumu kupanda)
  1. Isaac Newton
  2. Michael Faraday
  3. Galilei Galileo
  4. Archimedes
  5. Ovagador
  6. Last genius of the century (Albert Einstein)
 
Physics ipi?
Theoretical au applied?
Kama ni applied,applied physics haiend bila ya Calculus ambayo baba ake ni Sir Newton
 
Physics ipi?
Theoretical au applied?
Kama ni applied,applied physics haiend bila ya Calculus ambayo baba ake ni Sir Newton
Je Galilei Galileo si Ndio alikuwa role model wa Newton sasa vipi Newton na sio Galilei ?
 
uliyeandaa post sjui kama umesoma physics,kuna classical physics na modern physics,huwez kusifia modern physics bila kuacknwoledge legends of classical physics
 
Typing error kama kuna mwingine mwongeze
Dah mkuu wapo wengi sana kaka huwezi kuwamaliza wote, ninao wakumbuka fasta fasta ni

Galileo Galilei
Torricelli
Schroedinger
Rutherford
Fermi
Christian Doppler
Bernoulli
Alessandro Volta
Raman
Pascal ( hata watoto wa form one wanamjua)
Fresnel
Compton
Archimedes
Cannon
Kuna m-russia mmoja alikua anaitwa Sakharov, na wengine weeengi sana.
 
Je Galilei Galileo si Ndio alikuwa role model wa Newton sasa vipi Newton na sio Galilei ?
Nilicho maanisha ni when it comes to apply physics mfano kweny engineering,calculus ndo inatawala apo,na hapo ndipo ugumu wa physics ulipo na swal lako limeuliza nan aliechangia zaid physics kuwa ngumu nme m acknowledge Newton kwa kuwa kati ya hao yey ndo anaengia kama mmoj wa mababa wa Calculus
 
Wanajamii habari zenu
Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ),zote hizo zimeundwa na wanasayansi wenye vipaji asilia ili zisomwe na watu wa kawaida je Kati ya hawa Nani alileta vitu complicated (vigumu kupanda)
Isaac Newton
Michael Faraday
Galilei Galileo
Archimedes
Ovagador
Last genius of the century (Albert Einstein)
Alafu mkuu, hawa wanasayansi sio kwamba ndio wameleta na kufanya vitu viwe vigumu, hawa ndio wamerahisisha mambo hadi leo hii tunauwezo wa kusoma zaidi ya topic tano kwenye kitabu kimoja,

Mfano mdogo chukulia labda kwenye chemistry, ile periodic table kuna element zaidi ya mia, sasa kuisoma tabia ya element moja baada ya nyingine hadi ukazimaliza zote ni ngumu sana, ndio maana kuna wanasayansi wengi walijaribu lakini wakashindwa kuziweka kwenye makundi hadi alipokuja Mendeleev ndio akafanikiwa kuunda hyo PT ambapo wanafunzi saiz wanasoma kwa raha huku wakisikiliza mziki na wengine wakichati, lakini kazi ilikua imeshafanywa na Mendeleev,
 
uliyeandaa post sjui kama umesoma physics,kuna classical physics na modern physics,huwez kusifia modern physics bila kuacknwoledge legends of classical physics
Most of the hypothesis, formula na hata laws nyingi za modern msingi wake mkuu ni classical, huwezi ukasema umemaster modern kama huna idea yyte juu ya classical.
uliyeandaa post sjui kama umesoma physics,kuna classical physics na modern physics,huwez kusifia modern physics bila kuacknwoledge legends of classical physics
 
Newton motion in straight line na Galilei motion under gravity vilevile universal yake hadi spring watch
 
Wanajamii habari zenu
Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ),zote hizo zimeundwa na wanasayansi wenye vipaji asilia ili zisomwe na watu wa kawaida je Kati ya hawa Nani alileta vitu complicated (vigumu kupanda)
Isaac Newton
Michael Faraday
Galilei Galileo
Archimedes
Ovagador
Last genius of the century (Albert Einstein)
Non of them, they rather made Physics simple and user friendly to understand what and how nature works !!!
 
Back
Top Bottom