Jamani hivi mwanaume unakuwa na wanawake zaidi ya watano kwa wakati mmoja kwenye mahusiano ni nini mnakuaga mnatafuta au kuna research mnafanyaga huko kwa wanawake?
Habarini wana JF;
Nina swali moja lisemalo,
Inachukua muda gani kuondoka kwa jirani punde baada ya kula msosi kwake na ukizingatia mhusika alifika kwa ajili ya msosi!?
Wale wa Shule ya Sekondari Tosamaganga mpo? Tukumbushane mambo ya idete, msiwasi na zoo.
Enzi za Marehemu Mpogole "DUDU"
M
Madella Annex
Mabweni Ya Azimio na Mwenge
Madarasa ya Form V...
Wasalam wanajukwaa
Ninaanza, kulikuwa na ndugu Saba Pamoja na marafiki zao wawili walienda kuangalia sinema mwenge. Unaweza kugundua walijipangaje katika kukata tiketi ?
Grumpy yupo mbele ya...
Basi wiki iliyopita jirani yangu alipatwa na msiba huko kijijini kwao, ikabidi nimsindikize kwenda kuzika, utaratibu wa kuzika baada ya kuzika kwa mila yao, mzee wa kimila hutangaza nani ataefatia...
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!..
Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!..
Wakwanza alikuwa MUHINDI,wa...
Jamaa yupo kwenye msiba wa dada yake, wakati jeneza linatolewa ndani watu wote msibani walikuwa wakilia. Mara simu ya Jamaa ikaita kwa ringtone ya
dada huyoo anaolewaa, dada huyoo anaolewaa...
TANUA MAPAFU S01E01
Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.
Alipofungua mlango,akakutana uso...
Bwana Yesu asifiwe!!!
Jaman ni mm mchungaj wenu illovo nimerudi tens nilikua natafuta UPAKO. VP jaman habr za cku?? Polen kwa majukumu,??
Kama kawaida nipo kwa ajili ya
-kushauri
-kufundisha...
Kwa wale wenzangu na mimi wenye ubia na viwanda vya TBL na Serengeti ukimaliza na kiwanda cha konyagi, na viwanda vya kienyeji vya Mbege,Kindi,Komoni,Ulanzi,Kibuku,Mnazi,Ulanzi,Kangala, na konyagi...
Nimeipenda hii habar njema
Ukitaka majungu OA MHAYA.
Ukitaka Mapenzi ya ujanja ujanja OA MCHAGA.
Ukitaka Uchawi OA MFIPA.
Ukitaka maneno OA MZENJI.
Ukitaka mapishi OA MTANGA.
Ukitaka Uume...
Dear Sun (Jua),
There's no contest,it's not even a competition. You are still the hottest thing on planet earth.
Nobody is competing with you. Please stop showing off..
Katoto kavulana kalimwendea baba yake na kuanza mazungumzo
MTOTO: (kwa uchangamfu na kujiamini) Babaa baba!
BABA: (akihamisha uso wake kutoka kwenye gazeti na kumtazama mwanawe) Wasemaje Richiee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.