Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Jamaa yupo kwenye msiba wa dada yake, wakati jeneza linatolewa ndani watu wote msibani walikuwa wakilia. Mara simu ya Jamaa ikaita kwa ringtone ya
dada huyoo anaolewaa, dada huyoo anaolewaa, mahali kishatolewa, mahali kishatolewaa x5. Jamaa kuzima simu anashindwa maana kabeba jeneza na simu inaendelea kuita.
Kilichoendelea mi sijui!
dada huyoo anaolewaa, dada huyoo anaolewaa, mahali kishatolewa, mahali kishatolewaa x5. Jamaa kuzima simu anashindwa maana kabeba jeneza na simu inaendelea kuita.
Kilichoendelea mi sijui!