Wanaume ni majipu

Hiyo yote ni huruma yetu kwenu. Kila mwanaume akiwa na mpenzi mmoja tu, wanawake wengi watakosa wanaume. m-metuzidi sana kwa idadi.
Hakuna namna, itabidi mjifunze tu kuchangia kwa Roho safi.
 
Hii ishu haiwahusu wanaume tu!!,bali na wanawake pia,sasa ngoja tuwahoji na ninyi wenzetu,je huwa mnafanya hivyo mkitafuta nini kwa wanaume??.
 
Jaman ivi mwanaume unakua n wanawake zaid ya wa5 kwa wakat mmoja kwenye mahusiano n nn mnakuaga mnatafuta au kuna research mnafanyaga huko kwa wanawake?
Na mnavotupanga mnadhani hatujui? Tunajua sana. Huyu wa vocha huyu wa pesa huyu wa kuuzia sura huyu wa ukweli huyu konda au kuwekewa mafuta huyu bosi na kila mmoja anapewa whuchi kwa wakti wake....jiangalien kwanza kwenye kioo
 
Hapana asee wanaume n kiboko jamanj me had nashindwa wadefine n nini mnatafuta nabak kuwaangalia tu
 
Mahitaji ya ngono kwa mwanaume ni makubwa zaidi ya mwanamke, mwanamke mmoja hatoshi kwa mwanaume rijali ambae hajaanza kutumia mkuyati au supu ya pweza na kula mihogo.

Mwanaume rijali kua na mwanamke mkoja na mmoja pekee haiwezekani,angalau wawili au watatu basi ila mmoja hapana.

Pili jinsia yoyote ya kiume kua na mke zaidi y mmoja au kumiliki wanawake wengi ni ufahari kwao,angalia simba dume,bebeeru la mbuzi,dume la ng'ombe,jogoo na wanyama wengine. Ukitaka kujua jindia ya kiume zaidi kuhusu mapenzi jifunze kutoka kwa wanyama wengine wenye jinsia ya kiume.

Ukishajua hilo huhitaji kulaumiana na mwanaume.
 
We ukigundua anakuchanganya na mtu kamuanike instagramu watu mamjue
 
Mahitaji ya ngono kwa mwanaume ni makubwa zaidi ya mwanamke, mwanamke mmoja hatoshi kwa mwanaume rijali ambae hajaanza kutumia mkuyati au supu ya pweza na kula mihogo.

Mwanaume rijali kua na mwanamke mkoja na mmoja pekee haiwezekani,angalau wawili au watatu basi ila mmoja hapana.

Pili jinsia yoyote ya kiume kua na mke zaidi y mmoja au kumiliki wanawake wengi ni ufahari kwao,angalia simba dume,bebeeru la mbuzi,dume la ng'ombe,jogoo na wanyama wengine. Ukitaka kujua jindia ya kiume zaidi kuhusu mapenzi jifunze kutoka kwa wanyama wengine wenye jinsia ya kiume.

Ukishajua hilo huhitaji kulaumiana na mwanaume.
Nimekupenda Bure
 
Jaman ivi mwanaume unakua n wanawake zaid ya wa5 kwa wakat mmoja kwenye mahusiano n nn mnakuaga mnatafuta au kuna research mnafanyaga huko kwa wanawake?

Ama kweli mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Mbona nyie mnapokuwa na misururu ya wanaume tena mnawapanga kwa foleni hatusemi kuwa nyie ni majipu?

Wakati unamnyooshea mwenzako kidole, usisahau kuwa vinne vilivyobakia vinakuangalia wewe.
 
Back
Top Bottom