Kabla ya Magufuli.

DaveSave

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
440
638
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!..
Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!..
Wakwanza alikuwa MUHINDI,wa pili MCHINA na MBONGO!...

MUHINDI:"ntajenga kwa milioni 90!..,40 za vifaa,40 za mafundi na milioni 10 faida yangu"

MCHINA:"mi ntajenga kwa milioni 70!..,30 za vifaa,30 za mafundi na milioni 10 faida yangu"

MBONGO kuona vile akamvuta chemba msimamizi wa Magogoni!..
MBONGO:"mi ntajenga kwa milioni 270"

MSIMAMIZI WA MAGOGONI:"we una wazimu nn!..yn unathubutu kusema hvy na unaona wenzako wametaja kiwango kdg?!."

MBONGO:"milioni 100 zako,100 zangu alafu hiyo milioni 70 tunaajiri yule mchina"
 
Back
Top Bottom