JIULIZE..!

Hamis Mushi.

Member
Jan 16, 2016
53
38
Habarini wana JF;

Nina swali moja lisemalo,
Inachukua muda gani kuondoka kwa jirani punde baada ya kula msosi kwake na ukizingatia mhusika alifika kwa ajili ya msosi!?
 

Attachments

  • IMG-20160323-WA0014.jpg
    IMG-20160323-WA0014.jpg
    10.6 KB · Views: 54
Back
Top Bottom