Nje ya Kazi ya Siasa:Mwalimu Julias K Nyerere Kumbe Alikuwa Anatandika Bia na Wine

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Kwa wale wenzangu na mimi wenye ubia na viwanda vya TBL na Serengeti ukimaliza na kiwanda cha konyagi, na viwanda vya kienyeji vya Mbege,Kindi,Komoni,Ulanzi,Kibuku,Mnazi,Ulanzi,Kangala, na konyagi mwitu [Gongo au kwa ndugu zangu toka Mara maalfu kama Brand] kumbe Mwalimu nae hakuwa nyuma katika urithi wetu manake nimejua kupitia dereva Mwalimu zama hizo ndugu Metusela Kulanga kwenye makala ya raia mwema ya tarehe 12 october 2011, aliopo hojiwa na mwandishi Godfrey Dilunga aliulizwa swali kuwa kuna wakati kama binadamu aliwahi kumkosea mwalimu au anakumbuka nini kuhusu kumfurahisha au kumkasilisha Mwalimu.

Jibu la Metusela Kulanga ambae ni Mkuu wa Madereva ofisi ya Bunge Dodoma kwa sasa akasema ni pale walipotoka ziala Ludewa Njombe, anasema Mwalimu alimuita msaidizi wake mama Wickens na kumwita mlinzi wake Mwangota akasema kama angekuwa na madaraka angempandisha cheo kijana Matusela kwa kuwa akiwa kwenye safari yake ya Ludewa Njombe bwana Matusela alionyesha uwezo mkubwa sana kwenye safari nzima kutokana na misukosuko ya ubovu wa barabara.

Hivyo akaagiza kuwa siku hiyo anataka kunywa BIA [BEER] na Metusela Kulanga [Kijana wakati huo],Kwa walio wengi tulikuwa tumejua kupitia vitabu pia kuwa Mwalimu alikuwa anakunywa MVINYO [WINE] na wine hiyo mpaka sasa atujajua kuwa ni aina gani ya bia ama mvinyo [wine ] aliyokuwa anakunywa Mzee huyo.

Hivyo kwa waliokuwa wanafahamu au waliokuwa karibu na mwalimu watusaidie kujua aina ya kileo alichokuwa anatumia,kama hivyo alivyokunywa na kijana wake huyo ni aina gani ya BIA je ilikuwa NDOVU,SAFARI, PRISNER AU TUSKER kwa maana wengine sisi watumiaji wa masanga tunajua kuwa wapiga masanga ni aina gani ya watu na hata zile aina ya kiinywaji tunachotumia KINA KWAMBIA ZAIDI UNDANI WA TABIA YA MTUMIAJI KIATABIA NA MATENDO YAKE.

Mfano watumiaji wa Konyagi na bia aina ya Safari kitabia ni watu watemi kimaamuzi,wakisema ndio au hapana wamesema hivyo ndio wanamaanisha .tujuzane wana JF
 
Sa si useme tu kama unajua kuliko kuanza kututega kijanja.

Gashi ele chene,Nalo koba okoboja kufuma ahejamvi, gashi bange baleta madoido gashi okoboja ange opandeka ogomana,hambo hambo.
 
jamani mwisho utaanza kutueleza kuwa kumbe mwalimu alikuwa akishiriki tendo la ndoa na mkewe.

Huna Malezi historia ya maisha ya kiongozi n public interest,sio upuuzi wako,nani alikwambia mambo ya ndni ya chumba yakageuka kuwa pulic interest.Ndio maana wamarekani wote wanajua kuwa Bill Clinton,Bush Junior na sasa Obama wote kiwa wakati wao kila mmoja alivuta bangi. Weak Mind ujui behind pombe hizo huyu mzee alikuwa anafanya mambo gani muhimu yaliyo changia kwenye maisha yako wewe na mimi.Au wewe unaona pombe kama ujinga unafikilia nini kupitia tiukio hilo la dereva wake ilikuaje aliofurahi aliitaji pombe.Think Big kama ujui kaa pembeni.
 
Back
Top Bottom