Siku moja katika darasa la jioni la watu wazima, mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi;
"Nataka tucheze mchezo, mtu yeyote yule naomba ajitolee aje hapa mbele"
Mwanamke...
Huwa nacheka sana misemo na majibu ya makondakta:
- Shemeji twende ya kuwahi kaka kesha rudi.
- Konda kuna siti? "Siti zipo ila wenzio wamekalia"
- Mama mkwe kamata bomba
- Oyaaa, wakusoma...
Ukoo wa Kinyakyusa uliofanikiwa kuingia mwaka 2016
1.MwakaLindile
2.Mwakalebela
3.Mwakanyamale
4.Mwakajinga
5.Mwakapusye
6.Mwakasege
7.Mwakalundwa
na leo kazaliwa
8.Mwaka MPYA
Here are 40 inspiring things that worth a try before you turn 50.
1. Go to see your favorite band.
2. Forgive someone from your past. Holding on to bitterness is like buying poison and taking it...
Wapi Le Mutuzzzzzzzzzzzzzzzzz..............Popote ulipo tuwasiliane tafadhali.......nakukubali sana na nayakubali sana mapambano yako japo watu wanajifanya kukuponda ila deep inside wanatamani kua...
Yaani siku moja tu baada ya kupewa madaraka na rais kusema ma RC wawalaze watu ata masaa 48 prison, RC wa dsm amepata majaribu.
Sijui watu wanapima sumu kwa kuiramba / makali ya upanga kwa...
Katika kipindi kilichopita wadada wengi walikuwa wakijifungia ndani mda wa mchana huku wakitoka kwa vibajaji au pikipiki hali iliyopelekea kuanza kusemekana mitaa yetu haina watoto wazuri kabisa...
A man is driving down a deserted highway, and notices a sign that
reads: SISTERS OF MERCY HOUSE OF PROSTITUTION - 10 MILES.
He thinks it was a figment of his imagination and drives on. Soon, he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.