BABA CAROO.

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,733
Baba Caro alikutana kwenye hotel moja na jamaa aliekuwa anamdai kwa mda mrefu sana.
Walivyokutana wakawa wamekaa meza moja Baba Caroo akuuliza jamaa deni lake jamaa akaapa hadi na Mungu hana pesa kwa wakati huo ila atamlipa tu deni lake mambo yake yatakapokuwa mazuri...Ghafla wakiwa pale hotel ile ikavamiwa na majambazi wenye silaha wakamuru watu kulala chini na wafumbe macho..Yule jamaa anaedaiwa akainua kichwa kuona nini Majambazi wanafanya akaona wameanza kuwasachi watu mifukoni na kuchukua kila walichokuwa nacho mifukoni..Wakiwa wamelala karibu yule jamaa akaingiza mkono mfukoni akamwita Baba Caroo..Baba Caroo..chukua lile deni lako shika hii ni milion 1 na hatudaiani tena..Baba Caro akainua kichwa akaona majambazi wanawasachi watu..Akamwambia yule jamaa wewe endelea kukaa nayo utanipa majambazi wakiondoka...
 
Ha ha ha ha
Nlikua sijacheka tangu asubui.... Thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom