my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
sitak mniulize umerud canada? nmechoka kujib . niliwaaga nkirud ntasema lakin siwez nkarud coz family haina mpango wa kurud. usiniulize swal hli kuanzia leo pls nmechoka
Mkuu huyu ndo mtoto pekee tuliyenae jf..Mvumilie tuhujaeleweka mkuu na thread yako
Toto..kuna jamaa anajishughulisha na umodo huko canada..Nikuunganishe nae?sitak mniulize umerud canada? nmechoka kujib . niliwaaga nkirud ntasema lakin siwez nkarud coz family haina mpango wa kurud. usiniulize swal hli kuanzia leo pls nmechoka