Mmhhh kabla ya jf ulikua unaingia wapi?Jamani tuwe wakweli tu, ndio kila mtu analo jambo ambalo akilikosa ndani ya kipindi fulani bac hawezi kuwa sawa mpaka akipate kwanza! Kwa kweli mimi ikipita siku sijaingia humu Jamii forum, ni kosa la jinai….